Professional Kitchen
QUALITY KITCHEN APPLIANCES

Dress your kitchen with latest appliances from us

To reach more buyers inside and out of Tanzania. Tunauza vyombo vya majumbani aina zote kwa bei ya jumla na rejareja.

BMP Pilla Professional
SIISI NI AKINA NANI?

BMP Pilla kitchen uttensil dealers

Tunauza vyombo jumla na rejareja tukiwa na lengo kuu la kufikia wanunuzi wengi zaidi ndani na nje ya Tanzania. Ubora wa bidhaa zetu ndio siri ya mafanikio yetu.

Ubora wa Juu

Tunajali ubora wa bidhaa zetu kuliko kitu chochote, ndio maana wateja wetu wanatuchagua.

Huduma ya Uhakika

Tunatuma bidhaa mkoa wowote ndani ya Tanzania na pia nchi jirani kwa usalama na uhakika.

WASILIANA NASI arrow_forward
HUDUMA ZETU

Tunachokifanya vizuri.

Kutoka biashara ya jumla hadi usafirishaji — tuko nawe hatua kwa hatua kuhakikisha unapata bora zaidi.

warehouse

Biashara ya
Jumla

Tunatoa huduma ya jumla kwa wauzaji wadogo na migahawa mikubwa kwa bei shindani kabisa, tukihakikisha upatikanaji wa bidhaa zote kwa wakati.

check_circle Bei za Jumla
check_circle Ufikiaji wa Mikoani
Wasiliana nasi arrow_forward
Pendwa
shopping_bag

Mauzo ya
Rejareja

Pata vifaa vya kisasa na bora kwa ajili ya jiko lako la nyumbani. Dress your kitchen with us today and experience the difference.

check_circle Ubora wa Bidhaa
check_circle Dhamana ya Uhakika
Angalia Bidhaa arrow_forward
local_shipping

Usafirishaji
Bidhaa

Tunatuma bidhaa ndani ya Tanzania na pia nchi jirani kwa haraka, usalama mkubwa na kwa gharama nafuu zaidi.

check_circle Regional Logistics
check_circle Usalama wa Bidhaa
Wasiliana nasi arrow_forward
TUWASILIANE

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi au agizo la bidhaa.

call

Simu / WhatsApp

+255 789 640 805

mail

Barua Pepe

ceomrpilla@gmail.com

location_on

OFISI YETU

Tunduma main market, Tanzania

location_on HAPA
Tunduma Market, Songwe